Mwanzo

Hope channel Tanzania ni kituo cha Television ya kidini  inachomilikiwa na kanisa la Waadventista wa sabato Tanzania.Shughuli yetu kubwa ni kutangaza ujumbe wa malaika watatu kupitia runinga.Tunaweza kuonekana zaidi ya nchi kumi na moja kwa kutumia dishi kwa uwelekeo wa satellite ya ABS2 ,Polarization:vertical,symborate :30000mbps na Frequency 11596.

Moto wetu ni Runinga ibadilishayo maisha yako.Kwa vipindi bora vya kiroho endelea kuangalia Hope Channel Tanzania kila siku masaa 24 siku saba za wiki.Ubarikiwe